Taasisi ya serikali inataka kuboresha huduma zake za TEHAMA kwa kutumia Cloud Computing.
Kama mtaalamu wa Help Desk, eleza na chora mchoro wa usanifu (architecture) wa mfumo wa Cloud-Based Management System utakavyofanya kazi kwenye taasisi hiyo.
Ufafanuzi wako uonyeshe:
1. Sehemu kuu za mfumo (Clients, Cloud Services, Database, Network).
2. Namna Help Desk Team itakavyosaidia kudhibiti na kusimamia watumiaji.
3. Faida za kutumia Cloud Architecture kwenye taasisi.
Ticket Handling Scenario
Swali 1:
Mfanyakazi mmoja wa idara ya fedha ametuma maombi kupitia mfumo wa Help Desk Portal akisema hawezi kuingia kwenye akaunti yake ya e-GA Mail.
Eleza hatua utakazochukua kuanzia ticket inavyopokelewa hadi kufungwa.
Ticket Escalation Scenario
Swali 2:
Tume ya taasisi inaripoti kuwa mfumo wa Online Payment Portal hauwazii kufanya malipo kwa zaidi ya saa 1. Umegundua tatizo linahusisha database connection timeout.
Eleza hatua za escalation utakazofanya.
Problem-Solving Scenario (General Understanding)
Swali 3:
Unapogundua kompyuta ya mtumiaji inarestart mara kwa mara, bila error ya wazi, eleza hatua unazochukua kufahamu tatizo hilo kabla ya kuwasiliana na technical team.
Knowledge of Severity Levels
Swali 4:
Orodhesha aina 4 za severity levels zinazoweza kuwepo kwenye mfumo wa Help Desk na toa mfano wa kila moja.
Knowledge Base (KB) Scenario
Swali 6:
Baada ya kutatua tatizo la mfumo wa Payroll Portal kushindwa ku-validate data za watumishi, unashauriwa kuandika taarifa kwenye Knowledge Base (KB) ya taasisi.
Eleza umuhimu wa taarifa hiyo na mfano wa jinsi unavyoiandika kwenye mfumo.
_________________________________________________________________
FOR ANY ENQUIRIES
👇
WhatsApp: +255 692 127 931
___________________________________________________________________________________
***ALL THE BEST***
NB: "ANYTHING CAN HAPPEN"
0 comments:
Post a Comment